Mimi ni mtumishi wa Mungu. Hilo halina kipangamizi wala mjadala.
Ila utafanya kosa kubwa sana kudhani kuwa kila nikisemacho ni Mungu.
Hata Paulo Mtume alisema sehemu hapa ni mimi sio Bwana.
Lakini pia utafanya kosa kubwa zaidi kudhani kila ninachosema ni mimi na hakuna Bwana.
Sasa ni wakati gani ni mimi na wakati gani ni Bwana kupitia mimi Mungu hapo akusaidie sana.
Mimi ni mtumishi wa Mungu sio Mungu. Ni mtu kama wewe niliyopewa tu haka kafursa ka kumtuikia Mungu na kukutumikia wewe.
Pamoja na fursa hii huja neema ya kuniwezesha kusimama kwenye hiyo nafasi. Neema ni uwezesho wa Kimungu wa kufanya kile nilichoitwa na kutumwa kufanya.
Mungu akikusaidia pamoja na angalizo la kwanza hapo juu kuiona neema Yake kwangu na kukubali ikutumikie na kukuhudumia utaepushwa na maumivu mengi yasiyo ya lazima.
By pastor Carlos Wilson Kirimbai

No comments:
Post a Comment