Monday, October 6, 2014

TMM imekuwepo mwanzo mwisho, na hapa inakuletea picha  za awali kukujuza kilichojiri, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda, Mhe. Steven Masatu Wassira, ambaye pia alitumia fursa hiyo kuzungumzia kuhusu mazuri yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa.
Akifungua pamoja na mwenye kiti wa Msama Promotions. Alex Msama na wachungaji mbali mbali

No comments:

Post a Comment